2693; Haiwezekani kwa sababu hujafanya.

By | May 16, 2022
2693; Haiwezekani kwa sababu hujafanya. Wakati Wright Brothers wanahangaika kufanya majaribio ya kurusha ndege, wanasayansi wakubwa walisema wazi kwamba binadamu hawataweza kutusha ndege kwa miaka 100 ijayo. Kanuni zote za kisayansi zilionyesha hicho ni kitu kisichowezekana. Lakini mwaka mmoja baadaye Wright Brothers walirusha ndege yao na mengine yakabaki historia. Kabla

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In