2695; Malengo madogo ndiyo yanayokuchelewesha.

By | May 18, 2022
2695; Malengo madogo ndiyo yanayokuchelewesha. Rafiki, watu huwa wanadhani kwamba ukiweka malengo makubwa halafu usiyafikie basi umeshindwa. Hiyo siyo kweli, ukiweka malengo makubwa kabisa na usiyafikie, bado wewe ni mshindi. Kwa sababu utakachokuwa umepata siyo sawa na ambacho ungepata kama usingekuwa umeweka malengo hayo makubwa. Kushindwa ni pale unapoweka malengo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In