2698; Majuto hayana nafasi.

By | May 21, 2022
2698; Majuto hayana nafasi. Kuna fursa ulishindwa kuitumia kipindi cha nyuma na hivyo kushindwa kunufaika nayo. Badala ya kupoteza muda wako kwenye kujutia hilo, unapaswa kulitumia kama funzo la kutokubali kukosa fursa nyingine nzuri. Kuna makosa uliyafanya huko nyuma ambayo yalikugharimu sana. Badala ya kupoteza muda kwenye kujutia makosa hayo,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz