#SheriaYaLeo (203/366); Sheria ya tamaa.

By | May 22, 2022
#SheriaYaLeo (203/366); Sheria ya tamaa. Watu huwa wanatamani kile ambacho wengine wanacho. Haijalishi kina ubora kiasi gani, kitendo cha wengine kuwa nacho, kinawasukuma wao kutaka kuwa nacho ili wasipitwe. Ndiyo maana vitu vikishapata umaarufu huendelea kuwa maarufu. Kwa sababu kila mtu anavitamani vitu ambavyo ni maarufu. Ili kuwa na ushawishi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz