2712; Utakuja kushangazwa na matokeo.

By | June 4, 2022
2712; Utakuja kushangazwa na matokeo. Kitu kinachowakwamisha wengi kwenye kuendelea kuchukua hatua ni kutokuyaona matokeo haraka. Mtu anataka kupunguza uzito, anahamasika kufanya mazoezi. Anaanza mazoezi kwa siku chache, ila kila akipima uzito uko pale pale. Anajiambia haya mazoezi hayafanyi kazi na kuamua kuachana nayo. Mtu anataka kuongeza mauzo kwenye biashara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In