#SheriaYaLeo (240/366); Jifunze kusikiliza kwa kina.

By | June 28, 2022
#SheriaYaLeo (240/366); Jifunze kusikiliza kwa kina. Chochote unachofikiria ni ambacho tayari unakijua. Na yale unayojua ni machache mno ukilinganisha na mengi ambayo huyajui. Unapokuwa unazungumza au kufikiria, akili yako ina tabia ya kuzunguka kwenye mambo yale yale ambayo tayari unayajua. Lakini unapokutana na watu wengine, wanakuwa na vitu vya tofauti

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz