#SheriaYaLeo (244/366); Yatambue maoni yako mwenyewe.

By | July 2, 2022
#SheriaYaLeo (244/366); Yatambue maoni yako mwenyewe. Tambua ya kwamba hata wewe una maoni yako mwenyewe. Tambua jinsi maoni hayo yanafanya kazi ndani yako. Kubali kwamba haupo huru kama unavyodhani. Umekuwa unashawishiwa na wengine kwa namna mbalimbali. Lazima pia utambue ya kwamba siyo mjanja kama unavyojichukulia. Unaweza kulaghaiwa na kushawishiwa kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz