2753; Maumivu hayakwepeki.

By | July 15, 2022
2753; Maumivu hayakwepeki. Maisha yetu hapa duniani, tangu kuzaliwa mpaka kufa ni mwendelezo wa maumivu. Zoezi lenyewe la kuja duniani ni la maumivu na ndiyo maana mtoto hulia anapozaliwa. Na hata zoezi la kuondoka hapa duniani huwa ni la maumivu. Katikati ya matukio hayo makubwa mawili, kuna mfululizo wa maumivu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz