2773; Usichokitaka.

By | August 4, 2022
2773; Usichokitaka. Kama kuna kitu ambacho hukitaki kwenye maisha yako, dawa yake ni kukipuuza. Hapaswi kupambana na chochote ambacho hukitaki. Kwa sababu kwenye kupambana na kitu, unakipa nguvu zaidi na hivyo kuishia kushindwa. Njia ya uhakika na ya ushindi ni kupuuza kile ambacho hukitaki. Kuchukulia kama vile hakipo na hukihitaji

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In