#SheriaYaLeo (278/366); Chambua, chunguza na hoji.

By | August 5, 2022
#SheriaYaLeo (278/366); Chambua, chunguza na hoji. Ili kujenga uwezo mkubwa wa ndani unaoweza kufanya maamuzi sahihi, unapaswa kutafuta njia ya kutawala hisia zako. Hisia huwa zinatuondoa kwenye uwezo wetu mkubwa wa kufikiri. Hisia hizo zinatuteka na kuathiri mtazamo tunaokuwa nao. Tunapokuwa tumetawaliwa na hisia, hatuvioni vitu kama vilivyo kwa uhalisia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In