2791; Uwanja wa nyumbani.

By | August 22, 2022
2791; Uwanja wa nyumbani. Kwenye michezo yote, huwa kuna dhana ya uwanja wa nyumbani. Kwamba timu inakuwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda inapokuwa inacheza kwenye uwanja wa nyumbani. Hivyo timu inapokuwa inacheza uwanja wa ugenini, huko hucheza kwa kujilinda zaidi ili isifungwe. Timu ikiwa ugenini haiangalii sana kusinda, bali inakazana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity