2796; Uhakika kwamba unaweza kufanikiwa.

By | August 27, 2022
2796; Uhakika kwamba unaweza kufanikiwa. Thomas Edison amewahi kunukuliwa akisema; “Kama tungefanya mambo yote tunayoweza kufanya, tungejishangaza wenyewe.” Sina cha kuongeza hapo, tunaenda moja kwa moja kwenye hatua ya kuchukua. Hatua ya kuchukua; Chukua kalamu na karatasi na orodhesha mambo yote unayoweza kufanya kwenye biashara au kazi yako. Orodhesha yote

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz