2813; Kwanza umefanya?

By | September 13, 2022
2813; Kwanza umefanya? Huwa ni rahisi kuyaangalia matokeo na kukatishwa nayo tamaa pale yanapokuwa tofauti na mategemeo. Lakini mtu unasahau kwamba matokeo yoyote yale huwa hayaji kimiujiza. Bali yanaathiriwa na kile ambacho mtu amefanya. Hivyo kabla hujaumizwa na matokeo, kwanza jiulize umefanya? Je umefanya kile unachopaswa kufanya? Kama jibu ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz