2823; Tayari najua.

By | September 23, 2022
2823; Tayari najua. Hayo ni maneno ambayo yamewapoteza wengi sana na kuwazuia wasifanikiwe. Ni maneno ambayo yamewazuia wengi wasiendelee kujifunza na kuwa bora zaidi. Kila mtu hudhani tayari anajua mengi, lakini kiuhalisia hana uelewa kama anavyodhani anao. Kujifunza kitu chochote kile, kunahitaji marudio ya muda mrefu. Hata pale unapodhani tayari

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz