2838; Ukishapotea, ni vigumu sana kurudi.

By | October 8, 2022
2838; Ukishapotea, ni vigumu sana kurudi. Kama umeshawahi kwenda mahali usipopajua kwa kufuata ramani ya kwenye simu (google map), unajua jinsi ambavyo unaweza kuwa unazunguka mahali pamoja kwa muda mrefu bila kujua. Hiyo ni kwa sababu ramani hizo zina udhaifu mmoja, kama imekuelekeza ukifika mbele kata kulia, halafu hukukata hapo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In