#SheriaYaLeo (354/366); Jichukulie umezaliwa upya.

By | October 20, 2022
#SheriaYaLeo (354/366); Jichukulie umezaliwa upya. Pale unapopitia magumu sana kwenye maisha yako na kuona kama yamefika tamati, ila ukaweza kuyavuka, unapaswa kutumia hali hiyo kuishi kwa tija zaidi. Jichukulie kama mtu uliyezaliwa upya, ambaye umepata nafasi nyingine ya maisha baada ya kushindwa kutumia vizuri nafasi ya awali. Kwa kujichukulia umezaliwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In