#SheriaYaLeo (355/366); Jua yaliyo muhimu.

By | October 21, 2022
#SheriaYaLeo (355/366); Jua yaliyo muhimu. Tuna malengo ya kufikia, miradi ya kukamilisha na mahusiano ya kuboresha. Chochote tunachofanya kwa wakati wowote ule kinaweza kuwa ndiyo kitu cha mwisho kwetu kufanya. Hivyo tunapaswa kuhakikisha kila tunachofanya ndiyo kilicho muhimu zaidi na kuweka juhudi zetu zote kwenye kitu hicho. Kwa utambuzi huu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In