2866; Kutokufanya maamuzi thabiti.

By | November 5, 2022
2866; Kutokufanya maamuzi thabiti. Kwako rafiki yangu mpendwa ambaye kila ukianzisha jambo linaishia njiani. Unaweza kujipa sababu nyingi zinazopelekea hilo kutokea. Na sababu hizo nyingi zitakuwa ni za nje. Lakini sababu moja kubwa hutaipa uzito, sababu ambayo inaanzia ndani yako mwenyewe. Sababu hiyo ni kutokufanya maamuzi thabiti. Neno maamuzi limekuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz