2880; Hasi mara Chanya.

By | November 19, 2022
2880; Hasi mara Chanya. Kwako rafiki yangu mpendwa unayedhani una nguvu ya kuweza kuwashinda wale wanaokuzunguka. Kama unazikumbuka vizuri hesabu za magazijuto, ukichukua namba yoyote chanya, ukazidisha na namba yoyote hasi, jibu litakuja hasi. Hata kama ile namba chanya ni kubwa kuliko hasi. Yaani -5 × 10,000 = -50,000. Unajifunza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In