2886; Ameona wapi?

By | November 25, 2022
2886; Ameona wapi? Kwako rafiki yangu unayeshangazwa na yale ambayo watu wanayafanya, hasa ambao ulitegemea wafanye namna fulani. Kama una mtoto mdogo nyumbani, halafu siku moja ukasikia anatukana, unajua wazi kwamba kuna mahali mtoto huyo amesikia tusi hilo na kujifunza. Unajua kabisa haijatokea tu, kuna mahali ameona au kusikia na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In