2910; Wakati sahihi wa kutafuta kitu.

By | December 19, 2022
2910; Wakati sahihi wa kutafuta kitu. Kwako rafiki yangu mpendwa ambaye umekuwa unakutana na changamoto kubwa kwenye mambo unayokuwa unayataka. Umekuwa unasubiri mpaka pale unapokihitaji kitu kwa haraka ndiyo unahangaika kukitafuta. Kwa haraka unayokuwa nayo, unajikuta ukishindwa kuzingatia mambo muhimu na hilo linapelekea ufanye makosa. Wakati sahihi wa kutafuta kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz