2909; Vipaumbele.

By | December 18, 2022
2909; Vipaumbele. Kwako rafiki yangu mpendwa unayelalamika kwamba huna muda wa kufanya baadhi ya mambo ambayo unapaswa kuyafanya. Kiuhalisia, tatizo lako siyo muda, bali tatizo lako ni vipaumbele. Kila siku unapata masaa yako 24, yaliyojaa kabisa na wewe ndiye unayepanga unayatumiaje masaa hayo. Unapolalamika huna muda, unajua kabisa kwamba siyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In