2922; Mambo yanapokuwa magumu.

By | December 31, 2022
2922; Mambo yanapokuwa magumu. Rafiki yangu mpendwa, Kwenye hii safari ya mafanikio, mara nyingi utakutana na mambo magumu na changamoto. Hata pale unapokamilisha mipango unayokuwa umejiwekea, kufurahia huwa ni kwa muda mfupi. Baada ya hapo unapaswa kurudi kwenye kupambania malengo na mipango mikubwa zaidi ya uliyofikia. Kitu ambacho kifakupeleka kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In