2946; Wasaidie kufanya maamuzi.

By | January 24, 2023
2946; Wasaidie kufanya maamuzi.Rafiki yangu mpendwa,Kama ulikuwa hujui, moja ya wajibu wako mkubwa ni kuwasaidia watu kufanya maamuzi.Kwa sababu watu wengi hawana ujasiri wa kutosha kufanya maamuzi yao wenyewe. Siyo kwamba hawajui wanachotaka, wanajua sana, ila uthubutu wa kuamua ndiyo wamekosa.Kama wewe unataka mambo yako yaende na usikwamishwe na yeyote

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In