2973; Wape sababu ya kukuheshimu.

By | February 20, 2023
2973; Wape sababu ya kukuheshimu.Rafiki yangu mpendwa,Tunajifunza mambo mengi kwenye biashara na mauzo.Na mengi sana tunayojifunza yameegemea kwenye kuwajali sana wateja na kuweka maslahi yao mbele.Hayo ni mambo yenye nguvu na ushawishi mkubwa kwa wateja.Lakini pia kuna wateja wanachukulia kujali kwetu kama sehemu ya kutaka kutunyanyasa.Kwa kuwa tumechagua kuwajali sana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In