2981; Fanya kinachopaswa kufanyika.

By | February 28, 2023
2981; Fanya kinachopaswa kufanyika.Rafiki yangu mpendwa,Ili uweze kupata matokeo makubwa unayoyataka, lazima ufanye mambo mapya, makubwa na magumu.Na ili uweze kufanya mambo hayo magumu, lazima ujitoe kafara.Unapaswa kufanya kinachopaswa kufanyika na siyo unachotaka kufanya au unachoweza kufanya.Unapaswa ujitoe kupitiliza na siyo kujiwekea ukomo wa nini unaweza na nini huwezi.Ni mambo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In