2985; Usipoteze hiyo kazi ambayo umeshaweka.

By | March 4, 2023
2985; Usipoteze hiyo kazi ambayo umeshaweka.Rafiki yangu mpendwa,Tofauti ya kufanikiwa na kushindwa siyo akili wala juhudi zinazowekwa.Wanaofanikiwa na wanaoshindwa hawatofautiani sana kiakili.Na juhudi wanazokuwa nazo pia hazitofautiani sana.Tofauti kubwa ya wanaofanikiwa na wanaoshindwa inaanzia kwenye msimamo.Wanaofanikiwa wanapeleka juhudi zao kwenye jambo moja kwa muda mrefu.Wakati wanaoshindwa wanahamisha hamisha juhudi zao

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In