2995; Ongoza.

By | March 14, 2023
2995; Ongoza.Rafiki yangu mpendwa,Viongozi huwa wana kazi kuu moja, ambayo ni kuongoza.Na ili kuongoza vyema, huwa wanaondoa kila aina ya mashaka wanayokuwa nayo.Wanajitoa kweli kweli kwenye kile ambacho wanakifanya.Viongozi bora misimamo yao huwa inajulikana wazi.Kama wapo ndani basi wapo ndani moja kwa moja.Hawawi mguu mmoja ndani na nguu mwingine nje.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz