2998; Amini.

By | March 17, 2023
2998; Amini.Rafiki yangu mpendwa,Kujenga timu bora ya kuendesha biashara kunahitaji watu.Na watu huwa wanapenda kumfuata mtu anayejua wapi anakwenda na ana amini atafika kule anakokwenda.Ili uweze kuwavuta watu sahihi kuja kwako, lazima uwe kiongozi mzuri, ambaye unajua unakokwenda na unaamini utafika unakokwenda.Watu wanataka uwe na imani isiyoyumba kuhusu kufika kule

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz