3046; Wapambanie kombe.

By | May 4, 2023
3046; Wapambanie kombe.Rafiki yangu mpendwa,Kadiri chochote kile unachofanya kinavyokuwa rahisi kupatikana, ndivyo wengine wanavyokidharau na kukipuuza.Kama muda wako unapatikana kwa urahisi, watu watautumia hovyo kwa mambo yasiyokuwa na tija.Watakuzamisha kwenye mambo ya hovyo, yanayokula muda wako na yasiyokuwa na tija yoyote kwenye yale unayofanya au unayotaka kufikia.Kadhalika kadiri chochote unachouza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz