3109; Tarehe ya mwisho wa matumizi.

By | July 6, 2023
3109; Tarehe ya mwisho wa matumizi.Rafiki yangu mpendwa,Kila kitu huwa kina tarehe ya mwisho wa matumizi yake (expire date).Hiyo ni tarehe ambayo baada ya hapo kitu hicho hakiwezi kutumika tena.Inaanza na maisha yetu wenyewe, huwa yanaanza pale tunapozaliwa na kuisha matumizi pale tunapokufa.Kila mtu anayo tarehe ya mwisho wa maisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz