3132; Viwango vimeshushwa sana.

By | July 29, 2023
3132; Viwango vimeshushwa sana.Rafiki yangu mpendwa,Watu wengi huwa wana tabia ya kulalamikia mfumo wa elimu kwamba viwango vya ufaulu vimeshushwa sana.Kwa ufaulu mkubwa ambao watoto wa siku hizi wanakuwa nao, mtu yeyote aliyesoma zamani anaona kama angesoma zama hizi, basi na yeye angepata ufaulu mkubwa sana.Na hapo mtu hajaweka urahisi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity


   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz