3136; Ukatili wa asili.

By | August 2, 2023
3136; Ukatili wa asili.Rafiki yangu mpendwa,Asili huwa inafanya maamuzi yake kwa namna yake yenyewe.Maamuzi yanayofanywa na asili huwa hayaangalii matakwa ya watu.Kama asili ingekuwa ni mtu kwenye hayo maeneo yote yanayofanyiwa maamuzi, angeonekana kuwa mtu mwenye roho mbaya sana na asiyejali.Hiyo ni kwa sababu watu watakuwa na maelezo mengi na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity


   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz