3140; Chukua picha nyingi zaidi.

By | August 6, 2023
3140; Chukua picha nyingi zaidi.Rafiki yangu mpendwa,Siku moja ya tarehe 10 Disemba mwaka 1914, Thomas Edison akiwa nyumbani kwake alipata taarifa kwamba maabara yake kubwa ilikuwa inaungua moto.Aliongozana na kijana wake kwenda kuangalia hilo na kukuta kweli maabara ikiteketea kwa moto.Baada ya kuona kinachoendelea, Edison aligeuka na kumwambia kijana wake;

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz