3179; Ndoto na Juhudi.

By | September 14, 2023
3179; Ndoto na Juhudi.Rafiki yangu mpendwa,Kwenye programu ya CHUO CHA MAUZO ambayo tunaiendesha, tupo kwenye ngazi ya washiriki kufundisha masomo mbalimbali ya programu hiyo.Hivi karibuni washiriki wameshirikisha mambo waliyojifunza kwenye kijitabu kidogo nilichoandikws kinachoitwa; JINSI YA KUPATA CHOCHOTE UNACHOTAKA (A MESSAGE TO GARCIA).Kwenye kijitabu hicho, watu wanagawanyika kwenye makundi (divisions)

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz