3260; Siyo matokeo, bali muda.

By | December 4, 2023
3260; Siyo matokeo, bali muda.Rafiki yangu mpendwa,Kila mtu anapambana kujenga mafanikio makubwa kwenye maisha yake.Na njia ambazo watu wanatumia kujenga mafanikio nayo zinatofautiana.Njia nyingi tofauti za mafanikio zinaweza kuwafikisha watu kwenye mafanikio wanayoyataka. Lakini hilo linategemea zaidi mkazo ambao watu hao wanao, kama ni kwenye matokeo au muda.Wanaoweka mkazo kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz