Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1584; Usiyafanye Mambo Kuwa Magumu Zaidi Ya Uhalisia Wake…

By | May 3, 2019

Kinachowazuia watu wengi kufanikiwa kwenye maisha ni kuyafanya mambo rahisi kuwa magumu. Kwa kuwa mafanikio yanaionekana kuwa magumu kufikia, basi wengi huamini hata njia za kufika kwenye mafanikio zinapaswa kuwa ngumu. Na hapo ndipo watu huyafanya mambo rahisi kuwa magumu, na hivyo kujiwekea vikwazo zaidi kwenye mafanikio yao. Mwandishi mmoja (more…)

#TAFAKARI YA LEO; ONESHA VITENDO NA SIYO MANENO…

By | May 3, 2019

“Those who receive the bare theories immediately want to spew them, as an upset stomach does its food. First digest your theories and you won’t throw them up. Otherwise they will be raw, spoiled, and not nourishing. After you’ve digested them, show us the changes in your reasoned choices, just (more…)

1583; Je Unajua Nguvu Zako Kubwa Ziko Wapi?

By | May 2, 2019

Kinachowazuia watu wengi kufanikiwa ni kutokujua nguvu za kubwa ziko wapi. Au wanaweza kujua nguvu zao kubwa zilipo, lakini wasiwe tayari kuzitumia kwa mafanikio yao makubwa, kwa sababu wanakuwa wamezoea kuishi maisha ya kawaida. Kuna kitu kimoja au vichache ambavyo unaweza kuvifanya kwa ubora wa hali ya juu sana, kwa (more…)

1582; Kama Bado Unasumbuka Na Kazi Au Biashara Unazofanya, Tatizo Linaanzia Hapa…

By | May 1, 2019

Kama bado unasumbuka na kazi au biashara unazofanya, tatizo siyo kazi au biashara hizo, bali tatizo ni wewe mwenyewe. Unapokuwa upo njia panda, hujui kazi au biashara ipi sahihi kwako kufanya, Unapokuwa kwenye kazi moja lakini unatamani ungekuwa unafanya kazi ya aina nyingine. Unapokuwa unafanya biashara uliyonayo lakini unajiambia wanaofanya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; ACHA TABIA IPIGE KELELE…

By | May 1, 2019

“For philosophy doesn’t consist in outward display, but in taking heed to what is needed and being mindful of it.” —MUSONIUS RUFUS, LECTURES, 16.75.15–16 Ni siku mpya, siku njema na ya kipekee sana kwetu. Ni fursa bora sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa (more…)

1581; Kadiri Unavyofanikiwa Ongeza Vigezo Vyako Vya Kusema Ndiyo…

By | April 30, 2019

Kama kuna neno moja ambalo linaweza kukupa uhuru mkubwa kwenye maisha yako, basi ni neno HAPANA. Kusema hapana kunakuepusha na mambo mengi ambayo yangechukua muda wako na kukuondoa kwenye yale muhimu. Kusema ndiyo kunakuja na majukumu mengi ambayo unaweza usiyaone wakati unasema ndiyo. Mfano umekubali kufanya kazi ya mtu, ukiamini (more…)

1580; Dawa Ya Tabia Ya Kuahirisha Mambo…

By | April 29, 2019

Kila mmoja wetu anasumbuliwa na tabia hii ya kuahirisha mambo. Unapanga kabisa kwamba utafanya vitu gani, lakini wakati wa kufanya unapofika unaahirisha, unajiambia utafanya kesho au wakati mwingine. Zipo njia nyingi za kuondokana na tabia hii, lakini nyingi zinaishia kukufanya uahirishe zaidi kuliko kuachana na tabia hiyo. Kinachofanya iwe rahisi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SAFISHA VUMBI LA MAISHA…

By | April 29, 2019

“Watch the stars in their courses and imagine yourself running alongside them. Think constantly on the changes of the elements into each other, for such thoughts wash away the dust of earthly life.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 7.47 Ni jambo kubwa na la kushukuru sana kwa sisi kuiona siku hii nyingine (more…)