1574; Huhitaji Mtu Wa Kukukumbusha Hili, Na Kama Hulijui Huwezi Kufanikiwa…
Unapojitoa kwa ajili ya mafanikio, unapochagua kuondoka kwenye maisha ya kawaida na kwenda kwenye maisha ya mafanikio, ya kufanya makubwa na kupiga hatua zaidi, watajitokeza watu wengi ambao watakupa ushauri, ambao kwao wanaamini ni ushauri muhimu sana. Lakini sehemu kubwa ya ushauri ambao watakupa ni kukuonesha jinsi gani mambo yatakuwa (more…)
