1569; Maisha Ni Mwendo…
Huwa nasema ukitaka kuyaelewa maisha, basi ielewe asili. Kama hujui misingi gani uishi kwenye maisha yako, basi angalia misingi ya asili, angalia asili inajiendeshaje na yaendeshe maisha yako hivyo na utakuwa na maisha bora sana. Moja ya kanuni muhimu za asili unazopaswa kuzijua na kuziishi ni kanuni kwamba maisha ni (more…)
