MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1571; Elewa Tabia Hii Ya Watu Ambao Hawajafanikiwa Ili Isikukwamishe…
Watu ambao hawajafanikiwa wana tabia moja. Tabia hiyo ni kuyafanya mafanikio kuonekana kitu kibaya na wale waliofanikiwa kuonekana watu wabaya. Wale ambao hawajapata kile wanachotaka, wana tabia ya kuwadharau wale ambao wamepata, kwa kujiwekea mazingira ya kuonesha kwamba wale waliopata wanachotaka hawajapata kwa usahihi. Kuna wakati wataonesha kwamba wamepata kwa