1529; Unachoshikilia Ndiyo Kinachokuzamisha…
Uhuru kamili kwenye maisha unakuja pale unapoweza kuachilia, lakini ni vigumu kuachilia, ndiyo maana wengi hawapo huru, wengi wanazama na yale wanayoshikilia. Chukulia maisha kama mfano wa kuogelea kwenye maji, unapokuwa kwenye maji, ili uweze kuogelea huyashikilii maji, badala yake unayaachia na kujiachilia kwenye maji, na hilo ndiyo linakuwezesha kuelea (more…)
