UKURASA WA 1151; Wazo Lisilofanyiwa Kazi Ni Maumivu…
Hivi umewahi kuwa na wazo zuri la kufanyia kazi, ambalo unajua linaweza kukuwezesha kupiga hatua kubwa kwenye maisha yako. Lakini ukawa hulifanyii kazi, kwa sababu mbalimbali ambazo umekuwa unajipa. Halafu siku moja ukaja kukutana na mtu mwingine tayari anafanyia kazi wazo lile na anapata matokeo mazuri. Unajisikiaje katika hali hiyo? (more…)
