Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 1145; Kwa Nini Ni Vigumu Sana Kuuona Ukweli…

By | February 18, 2018

Kuna utani kwamba mtu mmoja ambaye alikuwa hajawahi kuvaa miwani nyeusi, aliivaa siku moja, ukiwa ni mchana wa jua kali. Lakini kutokana na weusi wa miwani ile, mtu yule aliona kama ni usiku, yaani giza linaingia. Na alitaka kujisaidia haja ndogo hivyo akasogea pembeni ya njia, akijua ni giza na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; NGUVU YAKO IKO KWENYE ENEO HILI MOJA…

By | February 18, 2018

You have power over your mind – not outside events. Realize this, and you will find strength. – Marcus Aurelius Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa (more…)

UKURASA WA 1144; Kuwa Makini Sana Na Mazingira Yanayokuzunguka….

By | February 17, 2018

Mazingira yanayotuzunguka, yana nguvu kubwa sana ya kutufanya vile tulivyo sisi. Japo wengi huwa hatulioni hili, na huwa tunafikiri kwamba tuna nguvu ya kuyashinda mazingira yetu. Ukweli ni kwamba hatuna nguvu hiyo. Mazingira ninayozungumzia hapa ni kila kinachokuzunguka, kuanzia watu, vitu na hata hali mbalimbali zinazokuzunguka. Kwa mfano kama unazungukwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; TATIZO SIYO TUSI UNALOTUKANWA, TATIZO NI TAFSIRI YAKO KWA TUSI HILO…

By | February 17, 2018

It is not he who reviles or strikes you who insults you, but your opinion that these things are insulting. – Epictetus Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi (more…)

BIASHARA LEO; Kwa Nini Mitandao Ya Kijamii Haina Faida Kubwa Kwako Kibiashara Kama Unavyodhani.

By | February 16, 2018

Kwenye zama hizi za taarifa, wateja wanapaswa kuwa na taarifa sahihi za biashara yako ili waweze kuchukua hatua ya kuja kununua kwako. Na moja ya njia rahisi za kutoa taarifa za biashara yako ni kupitia mitandao ya kijamii. Kwa sasa karibu kila mtu mwenye simu, yupo kwenye mitandao hii ya (more…)

UKURASA WA 1143; Sababu Kuu Ya Kufanya Kazi Yako…

By | February 16, 2018

Kuna watu wanafanya kazi ili waonekane wanafanya kazi. Watu wa aina hii kazi zao huwa ni za juu juu na hazina thamani kubwa. Kwa sababu pale ambapo hakuna anayewaona, basi hawana msukumo wa kufanya kazi. Na mara nyingi kazi inakuhitaji uifanye wakati hakuna anayekuona. Wapo watu wanaofanya kazi ili wasifiwe, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; ADHABU KUBWA YA MKOSAJI…

By | February 16, 2018

The first and greatest punishment of the sinner is the conscience of sin. – Lucius Annaeus Seneca Asubuhi njema mwanamafanikio. Hongera kwa siku hii mpya na ya kipekee sana kwetu. Ni nafasi nyingine nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Ni kwa msingi wa NIDHAMU, (more…)

UKURASA WA 1142; Sheria Tatu Zinazoweza Kuyafanya Maisha Yako Kuwa Bora Sana…

By | February 15, 2018

Sheria huwa zinatengenezwaje? Ni baada ya watu kufanya mambo fulani, halafu matokeo yake yakaonekana siyo mazuri hivyo sheria inawekwa kuwazuia watu kufanya kitu hicho. Kwa mfano, watu kunywa pombe na kisha kuendesha magari au mashine hupelekea kupata ajali zaidi. Hivyo sheria inakuwa hairuhusiwi kunywa pombe na kisha kuendesha mashine au (more…)

UKURASA WA 1141; Hofu Ya Fedha Ni Upotevu Wa Muda…

By | February 14, 2018

Leo nakuambia kitu ambacho kinaweza kukuumiza, lakini ukweli lazima usemwe kama ulivyo. Ni mazoea kwetu kuwa na hofu juu ya fedha, hasa pale ambapo tunakuwa hatuna uhakika na kipato chetu, hatutajijengea uhuru wa kifedha na hatujui kesho itakuwaje. Labda huna kazi maalumu na hivyo hujui kwa hakika kipato chako cha (more…)