Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

#TAFAKARI YA LEO; UWEPO WAKO NI KWA AJILI YA WENGINE…

By | January 22, 2018

Men exist for the sake of one another. – Marcus Aurelius Hongera mwanamafanikio kwa siku hii mpya, siku bora na ya kipekee sana kwetu. Hii ni siku ambayo kama tukiweka juhudi kubwa, basi tutaweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo (more…)

UKURASA WA 1118; Kawaida Ndiyo Kanuni Kuu Ya Kushindwa…

By | January 22, 2018

Kama unataka kuwa na maisha ya kushindwa, kuwa na maisha ya kawaida, maisha ambayo unafanya kile ambacho kila mtu anafanya, kwa namna anavyofanya. Yaani unakuwa kawaida kabisa, na hakuna hatua kubwa unayopiga. Ukifanya biashara yako kama kawaida, vile ambavyo umezoea kufanya siku zote, na vile ambavyo kila mtu anafanya, unakuwa (more…)

UKURASA WA 1117; Watu Hawa Walikuja Baada Ya Ndoto Zako…

By | January 21, 2018

Ni jambo la kushangaza namna gani watu wapo tayari kuacha ndoto zao kwa sababu ya maoni au mtazamo wa watu wengine. Au mtu anaacha kufanyia kazi ndoto zake kubwa alizokuwa nazo, kwa sababu ya watu ambao wanamhitaji afanyie kazi vitu vingine. Cha kushangaza ni kwamba, watu wengi ambao watu wanawakubalia (more…)

UKURASA WA 1116; Vitu Vitatu Vya Kujijengea Uwezo Ili Kuwa Na Maisha Ya Uhuru Na Mafanikio.

By | January 20, 2018

Tunadanganyika kwamba uhuru ni kuweza kupata kila unachokitaka kwa namna unavyotaka wewe. Na mafanikio ni kuwa na kila unachokitaka kwa namna unavyotaka wewe. Yote hayo mawili ni uongo kwa sababu hakuna yeyote anayeweza kupata kila anachokitaka kwa wakati anaotaka na namna anavyotaka yeye. Kuna wewe kutaka na kuna dunia kutoa. (more…)

UKURASA WA 1115; Ni Urafiki Na Mapenzi Ndiyo Vinajenga Wateja Wazuri…

By | January 19, 2018

Kitu kimoja ambacho huwa napenda kuwakumbusha wafanyabiashara mara kwa mara ni kwamba wateja wananunua kwa sababu zao binafsi na siyo kwa sababu zako. Mteja hanunui kwa sababu wewe unauza, ila ananunua kwa sababu anahitaji kununua. Na kama ambavyo tunajua, sisi binadamu ni wabinafsi, tunajali mambo yetu zaidi kuliko kitu kingine (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAISHA HAYAKUSUBIRI WEWE…

By | January 19, 2018

While we are postponing, life speeds by. – Lucius Annaeus Seneca Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa, ili kuweza kupata matokeo bora sana. Leo tunakwenda kuishi kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana. Pia kwa TATUA, AMUA NA (more…)

UKURASA WA 1114; Jikumbushe Kila Siku…

By | January 18, 2018

Kitu kimoja ambacho sisi binadamu tunacho ni kusahau, tunasahau mambo haraka sana. Na hili siyo baya, bali ni jambo zuri kwa sababu yapo mambo ambayo kama siyo kusahau basi maisha yetu yatakuwa hovyo. Kuna mambo makubwa, magumu na mabaya tunakutana nayo kwenye maisha yetu ambayo kama siyo kusahau, tunaweza kukata (more…)

UKURASA WA 1113; Orodha Ya Vitu Vya Kufikiria…

By | January 17, 2018

Muda tulionao kwenye siku yetu ni masaa 24 pekee, haujawahi kuongezeka na hakuna dalili kwamba muda huu utaongezeka siku za hivi karibuni. Lakini mambo ya kufanya yanazidi kuwa mengi, tunazidi kuwa na majukumu mengi katika muda mfupi tulionao. Kama hiyo haitoshi, kiasi cha taarifa na maarifa tunayoyapata kwenye siku yetu (more…)