Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 1084; Tiba Kamili Ya Hofu Ya Kukataliwa…

By | December 19, 2017

Watu wengi wamekuwa wakijinyima vitu wao wenyewe. Unakuta mtu kuna kitu anataka kutoka kwa mtu mwingine, lakini anajiambia hawezi kunipa, au hatakubali, halafu anaishia hapo. Ukiangalia hapo, unachoona ni kwamba mtu amechagua kujinyima yeye mwenyewe. Hajamuuliza mtu yule kitu, lakini amekuja na majibu kwamba atakataa au hatokubali. Kuna kitu kinawafanya (more…)

UKURASA WA 1083; Saa Moja Takatifu Ya Maisha Yako…

By | December 18, 2017

Usipokuwa makini utashangaa siku inaanza na kuisha huku hujapata nafasi ya kufanya lolote muhimu ulilotaka kufanya. Unaweza kuwa na mipango mizuri sana ya siku yako, lakini siku ikaanza na kuisha na usione muda wa kufanya yale muhimu uliyopanga. Hii yote inayokana na namna mambo ya kufanya yanavyozidi kuwa mengi huku (more…)

UKURASA WA 1082; Wape Watu Nafasi Ya Kukuonesha Kwa Vitendo…

By | December 17, 2017

Kadiri unavyofanikiwa kwenye kazi, biashara na hata maisha yako kwa ujumla, ndivyo unavyowavutia watu wengi zaidi kutaka kushirikiana na wewe. Unaweza kuwavutia kama wafanyakazi ambao wanakusaidia kwenye majukumu yako. Pia unaweza kuwavutia kama watu wanaohitaji kushirikiana na wewe katika yale unayofanya. Sasa kumekuwa na tatizo moja kubwa, watu wanapoona umefanikiwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUNA WAKATI HATA KUISHI NI UJASIRI…

By | December 17, 2017

Sometimes even to live is an act of courage. – Lucius Annaeus Seneca Asubuhi njema kwako rafiki yangu. Hongera kwa nafasi hii ya kipekee, nafasi ambayo tunakwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya (more…)

UKURASA WA 1081; Maisha Hayakuandaliwa Kuwa Mateso…

By | December 16, 2017

Maisha ni magumu, kwa kila kiumbe hai kilichopo hapa duniani kwa sababu kila kiumbe kina changamoto zake. Lakini pamoja na ugumu huu wa maisha, maisha hayakuandaliwa kuwa mateso. Kila ugumu na changamoto ambayo kiumbe hai kinakumbana nayo, asili imeandaa mazingira ya kiumbe huyo kupambana na changamoto hiyo. Kwa mfano, miti (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; KINACHOFUATA BAADA YA MAVUNO MABAYA….

By | December 15, 2017

Even after a bad harvest there must be sowing. – Lucius Annaeus Seneca Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA (more…)

UKURASA WA 1080; Kama Unasubiri Mpaka Uweze Kumudu, Utachelewa Sana…

By | December 15, 2017

Kuna mambo mengi ambayo tunaweza kuwa tunayapenda kwenye maisha yetu, lakini kwa hali tunayokuwa nayo kwa wakati huo, tunaona hatuwezi kuyamudu. Na hivyo tunaamua kusubiri ili tuweze kuyamudu mambo hayo. Na hapo sasa ndipo tunapojichelewesha kwa kiasi kikubwa sana. Ni vigumu sana kuweza kumudu kila kitu ambacho mtu unakitaka kwenye (more…)