Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

#TAFAKARI YA LEO; FURAHA NI SASA, HAPO ULIPO…

By | November 21, 2017

True happiness is… to enjoy the present, without anxious dependence upon the future. – Lucius Annaeus Seneca Hongera rafiki kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Sifa Aliyoacha Leonardo da Vinci

By | November 20, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 174 – 183. Katika ulimwengu wa sasa ambao watu wanabobea kwenye mambo machache, yaani mtu anajua zaidi na zaidi kwenye maeneo machache, Leonardo anabaki na sifa ya kubobea kwenye kila kitu. Leonardo alikuwa msanii, amechora picha nzuri (more…)

UKURASA WA 1055; Chochote Unachokimbiza, Kitakuangusha….

By | November 20, 2017

Maisha yetu ni mafupi hapa duniani, ukilinganisha na umri ambao dunia imekuwa nao, sisi tuna muda mfupi mno. Kama ukikazana sana na kufika miaka mia moja, bado hujafika hata chembe ya mabilioni ya miaka ambayo dunia inayo. Pamoja na ufupi huu wa uwepo wetu hapa duniani, bado tunafupisha zaidi maisha (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KILA KINACHOTOKEA NI KAMA KINAVYOPASWA KUTOKEA….

By | November 20, 2017

Everything that happens happens as it should, and if you observe carefully, you will find this to be so. – Marcus Aurelius Habari za asubuhi ya leo rafiki? Ni siku nyingine mpya ma ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili tuweze kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha (more…)

KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Maadili Ya Leonardo na Ushauri Wa Maisha Bora.

By | November 19, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 164 – 173. Licha ya kuwa msanii na mwanasayansi, Leonardo da Vinci pia alikuwa mshauri wa mambo mbalimbali ikiwepo imani, mahusiano na hata maadili. Ufuatao ni ushauri wa Leonardo kuhusu kuwa na maisha bora. KUHUSU MALI NA (more…)

UKURASA WA 1054; Kwa Kuwa Haitaondoka, Basi Itumie…

By | November 19, 2017

Moja ya kikwazo kikubwa kwa wengi kufanikiwa ni hofu. Ni rahisi sana kupanga mambo ambayo mtu atafanya, ni rahisi kukaa chini na kuweka malengo na mipango. Lakini inapofika kwenye utekelezaji, ndipo wengi hushindwa kuchukua hatua kwa sababu ya hofu. Wengi hujiona bado hawajawa tayari, huona wanaweza kushindwa, watakataliwa au wataonekana (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; KILA KITU KIPO NDANI YA KILA KITU…

By | November 18, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 154 – 163. Leonardo aliwahi kusema kwamba KILA KITU KIPO NDANI YA KILA KITU, KINATOKA NDANI YA KILA KITU NA KINARUDI KWENYE KILA KITU. Kauli hii ilimaanisha kwamba, dunia imeungana na dunia ni kitu kimoja. Kila kitu (more…)

UKURASA WA 1053; Kadiri Uimara Unavyokuwa Mkubwa, Ndivyo Udhaifu Unakuwa Mkubwa Pia….

By | November 18, 2017

Ukiona sehemu kuna mlima mkali, jua pia utakutana na bonde kubwa katika eneo hilo. Na kadiri mlima unavyokuwa mrefu, ndivyo bonde pia linavyozidi kuwa kubwa. Hivi ndivyo dunia ilivyo, ndivyo sheria ya asili inafanya mambo yaende. Hii pia ipo kwa watu, kadiri mtu anavyokuwa imara, ndivyo pia anavyokuwa dhaifu. Hii (more…)

#TAFAKARI YA LEO; BILA MISINGI YA USAWA, KILA KITU KINAANGUKA…

By | November 18, 2017

A kingdom founded on injustice never lasts. – Lucius Annaeus Seneca Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA (more…)