UKURASA WA 1055; Chochote Unachokimbiza, Kitakuangusha….

By | November 20, 2017
Maisha yetu ni mafupi hapa duniani, ukilinganisha na umri ambao dunia imekuwa nao, sisi tuna muda mfupi mno. Kama ukikazana sana na kufika miaka mia moja, bado hujafika hata chembe ya mabilioni ya miaka ambayo dunia inayo. Pamoja na ufupi huu wa uwepo wetu hapa duniani, bado tunafupisha zaidi maisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In