UKURASA WA 995; Mambo Yanapokwenda Vibaya, Una Machaguo Mawili…
Pamoja na malengo na mipango mikubwa unayoweza kuweka, siyo kila kitu kitakwenda kama ulivyopanga. Na mbaya zaidi, mambo yatakwenda vibaya tofauti na ulivyopanga. Utakosa kile ulichotaka na wakati mwingine utapoteza ulichokuwa nacho. Sasa katika hali kama hizi, una machaguo mawili pekee. Kile unachochagua katika haya mawili ndiyo kinaamua matokeo unayopata (more…)
