Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

#KURASA_KUMI; Umuhimu wa kukariri na kurudia kauli chanya.

By | September 23, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 123 – 132. Sehemu kubwa ya yale ambayo tunayafanya kwenye maisha yetu, yanatokana na tabia na mazoea ambayo tumwjijengea. Vitu vingi unafanya bila hata ya kufikiri. Na hata namna tunavyofikiri ni kwa (more…)

UKURASA WA 997; Kazi Zetu Ni Watu…

By | September 23, 2017

Kwenye kila kitu ambacho tunafanya hapa duniani, kinawahusisha watu wengine. Iwe umeajiriwa au unafanya biashara, unachofanya ni kwa ajili ya watu na unakifanya na watu. Hata katika maisha yetu ya kawaida, mahusiano yetu yanahusisha watu. Hivyo tunaweza kusema kwamba kila mmoja wetu, kazi yake kubwa ni watu. Katika kazi hii, (more…)

#KURASA_KUMI; Changamoto Ya Utambuzi/Ufahamu (Consciousness).

By | September 22, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 114 – 123. Kumekuwepo na mjadala mkali baina ya wanasayansi kwa upande mmoja na wanafalsafa kwa upande wa pili. Wapo wanasayansi wanaoamini kwamba falsafa imekufa na kwamba chochote ambacho falsafa inasimamia hakina (more…)

BIASHARA LEO; Kazi Yako Siyo Kuwaambia Watu Kipi Wanataka, Bali Kuwasikiliza Nini Wanataka.

By | September 22, 2017

Mapinduzi makubwa sana yameshafanyika kwenye biashara kwa ujio wa mtandao wa intaneti na mitandao ya kijamii. Sasa hivi nguvu kubwa ipo kwa wateja na siyo wafanyabiashara. Siku za nyuma ilikuwa kampuni inaamua izalishe nini, kisha inatengeneza matangazo yenye kuvutia sana na kuwashawishi watu mpaka wapokee ile bidhaa inayotolewa. Lakini sasa (more…)

UKURASA WA 996; Uhaba Wa Maisha…

By | September 22, 2017

Kanuni kuu ya uchumi ni kwamba, kitu kinapokuwa adimu, thamani yake inakuwa kubwa. Kunapokuwa na uhaba wa kitu, kile ambacho kinapatikana kwa shida, kinathaminiwa zaidi. Lakini kile ambacho kipo kwa wingi na kinapatikana kirahisi, thamani yake huwa inakuwa ndogo. Kanuni hii ya uchumi tunaweza pia kuitumia kwenye maisha yetu, hasa (more…)

UWEKEZAJI LEO; Faida Tano Za Kununua Na Kuwekeza Kwenye Hisa.

By | September 21, 2017

Watu wengi wamekuwa wakiona uwekezaji kwenye ununuzi wa hisa na amana nyingine kama aina ngumu ya uwekezaji, ambayo inaweza kufanywa na watu wenye fedha nyingi na wenye elimu kubwa. Yote hayo ni uongo, kila mtu anaweza kuwekeza kwenye hisa, hata mwenye kipato kidogo na asiye na elimu kubwa. Uwekezaji kwenye (more…)

BIASHARA LEO; Watu Hawapendi Kuuziwa, Bali Wanapenda Kununua.

By | September 21, 2017

Hii ni dhana ambayo itakusaidia sana kubadili mtazamo wako kibiashara, hasa pale unapokutana na mteja wako. Japokuwa upo kwenye biashara kuuza bidhaa na huduma unazotoa, kumbuka kwamba mteja haji kwako kwa sababu wewe unauza. Bali mteja anakuja kwako kwa sababu ana shida au changamoto, na ana amini ya kwamba wewe (more…)