UKURASA WA 701; Thamani Iliyopo Ndani Ya Kushindwa…
Utashindwa mara nyingi kuliko utakavyofanikiwa kwenye maisha yako, huu ni ukweli wa maisha ambao ni mchungu lakini hatuwezi kuukwepa. Na ukijaribu kuukwepa utashindwa mara zote na hutafanikiwa kabisa kwenye maisha yako. Kwa kuwa kushindwa ni sehemu ya maisha, na kwa kuwa utashindwa mara nyingi tu kwenye maisha yako, usipoteze muda (more…)
